Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Asije akawa hawezi kuumaliza baada ya kuweka msingi, watu wote wakaanza kumdhihaki, wakisema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 La sivyo, baada ya kuweka msingi na kushindwa kumaliza, watu watamcheka

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 La sivyo, baada ya kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 La sivyo, akiisha kuweka msingi, naye akiwa hana uwezo wa kuikamilisha, wote waionao wataanza kumdhihaki,

Tazama sura Nakili




Luka 14:29
4 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Ewe ulivunjae hekalu na kuijenga kwa siku tatu, jiponye nafsi yako; ukiwa Mwana wa Mungu, shuka msalahani.


Maana ni nani katika ninyi, kama akitaka kujenga mnara, asiyeketi kwanza na kuihesabu gharama kama ana vitu vya kuumaliza?


Mtu huyu alianza kujenga, akawa hana nguvu za kumaliza.


Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila zake Shetani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo