Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 14:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 Mtu akija kwangu, nae hamehukii baba yake, na mama yake, na mke wake, na wanawe, na ndugu zake wanaume na wanawake, na uzima wake pia, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 “Mtu yeyote akija kwangu, asipomchukia baba yake, mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 “Mtu yeyote akija kwangu, asipomchukia baba yake, mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 “Mtu yeyote akija kwangu, asipomchukia baba yake, mama yake, mke wake, watoto, ndugu na dada zake, naam, hata na nafsi yake mwenyewe, hawezi kuwa mwanafunzi wangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 “Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 “Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.

Tazama sura Nakili

Luka 14:26
18 Marejeleo ya Msalaba  

Apendae baba au mama kuliko mimi, hanifai; na apendae mwana au binti kuliko mimi hanifai.

Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hii siwezi kuja.

Bassi makutano mengi wakafuatana nae; akageuka akawaambia,

Aipendae roho yake ataiangamiza; nae aichukiae roho yake katika ulimwengu huu ataihifadhi hatta uzima wa milele.

Lakini siyahesabu maisha yaugu kuwa kitu cha thamani kwangu kama kuumaliza mwendo wangu na khuduma ile niliyopokea kwa Bwana Yesu, kuishuhudia Injili ya neema ya Mungu.

Kama ilivyoandikwa, Nimempenda Yakobo, bali Esau nimemchukia.

Naam, naliona mambo yote kuwa khasara kwa ajili ya uzuri usio kiasi wa kumjua Kristo Yesu, Bwana wangu; ambae kwa ajili yake nimepata khasara ya mambo yote, nikiyahesabu kuwa kania mavi illi nimpate Kristo;

Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; wala hawakupenda maisha yao hatta wakati wa kufa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo