Luka 14:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Bassi makutano mengi wakafuatana nae; akageuka akawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Hapo, makundi mengi yakawa yanaandamana pamoja na Yesu. Basi, akawageukia watu akawaambia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Umati mkubwa wa watu walikuwa wakisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Umati mkubwa wa watu ulikuwa ukisafiri pamoja na Isa, naye akageuka, akawaambia, Tazama sura |