Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Maana nawaambieni ya kwamba katika watu wale walioalikwa hapana hatta mmoja atakaeionja karamu yangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeonja karamu yangu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeonja karamu yangu.’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kwa maana, nawaambieni, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeonja karamu yangu.’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kwa maana nawaambia, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeionja karamu yangu.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kwa maana nawaambia, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeionja karamu yangu.’ ”

Tazama sura Nakili




Luka 14:24
12 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa sababu hii nawaambieni, ya kwamba ufalme wa Mungu utaondolewa kwenu, na watapewa taifa lingine wenye kuzaa matunda yake.


Kisha akawaambia watumishi wake. Arusi i tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.


Yule Bwana akamwambia mtumishi wake, Kaenda barabarani na mipakani, ukawashurutishe waingie illi nyumba yangu ipate kujaa.


Bassi makutano mengi wakafuatana nae; akageuka akawaambia,


Na hii ndiyo hukumu, ya kuwa nuru imekuja ulimwenguni, watu wakapenda giza zaidi ya nuru; kwa maana matendo yao yalikuwa maovu.


Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.


Bassi Yesu akawaambia tena, Mimi naondoka, nanyi mtanitafuta, na mtakufa katika dhambi yenu: niendako mimi, ninyi hamwezi kuja.


Bassi naliwaambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa kuwa msipoamini ya kuwa mimi ndiye, mtakufa katika dhambi zenu.


Paolo na Barnaba wakanena kwa uthabiti wakasema, Ilikuwa lazima neno la Mungu linenwe kwenu kwanza: illakini kwa kuwa mnalisukumia mbali, wala hamjioni nafsi zenu kuwa mmestahili uzima wa milele, angalieni, twawageukia mataifa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo