Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 14:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Yule mtumishi akasema, Yamekwisha kutendeka hayo uliyoniagiza na ingaliko nafasi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Baadaye, mtumishi huyo akasema: ‘Bwana, mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Baadaye, mtumishi huyo akasema: ‘Bwana, mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Baadaye, mtumishi huyo akasema: ‘Bwana, mambo yamefanyika kama ulivyoamuru, lakini bado iko nafasi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 “Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 “Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’

Tazama sura Nakili

Luka 14:22
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yule mtumishi akaenda, akamwarifu Bwana wake mambo haya. Ndipo yule mwenye nyumba akaghadhabika, akamwambia mtumishi wake, Toka upesi ukaende njia kuu na vichochoro vya mji, ukalete hapa maskini, na vilema, na viwete, na vipofu.

Yule Bwana akamwambia mtumishi wake, Kaenda barabarani na mipakani, ukawashurutishe waingie illi nyumba yangu ipate kujaa.

Nyumbani mwa Baba yangu mna makao mengi; kama sivyo, ningaliwaambieni; nashika njia kwenda kuwaandalia mahali.

Mimi, niliye mdogo kuliko yeye aliye mdogo wa watakatifu wote, nilipewa neema hii, kuwakhubiri Mataifa utajiri wake Kristo usiopimika;

Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa namna ya kimwili.

nae ni kipatanisho kwa dhambi zetu: wala si kwa dhambi zetu tu, bali kwa dhambi za ulimwengu wote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo