Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Mwingine akasema, Nimeoa mke, na kwa sababu hii siwezi kuja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Na mwingine akasema: ‘Nimeoa kwa hiyo siwezi kuja.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Na mwingine akasema: ‘Nimeoa kwa hiyo siwezi kuja.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Na mwingine akasema: ‘Nimeoa kwa hiyo siwezi kuja.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’

Tazama sura Nakili




Luka 14:20
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mwingine akasema, Nimenunua ngʼombe, jozi tano: naenda niwajaribu; nakuomba unisamehe.


Yule mtumishi akaenda, akamwarifu Bwana wake mambo haya. Ndipo yule mwenye nyumba akaghadhabika, akamwambia mtumishi wake, Toka upesi ukaende njia kuu na vichochoro vya mji, ukalete hapa maskini, na vilema, na viwete, na vipofu.


bali yeye aliyeoa hujishughulisha na mambo ya dunia hii, jinsi atakavyompendeza mkewe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo