Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Bassi mbele yake palikuwa mtu hawezi safura.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Mbele yake Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Mbele yake Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Mbele yake Yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Hapo mbele yake palikuwa na mtu mmoja mwenye ugonjwa wa kuvimba mwili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Papo hapo mbele yake palikuwa na mtu mmoja mwenye ugonjwa wa kuvimba mwili.

Tazama sura Nakili




Luka 14:2
2 Marejeleo ya Msalaba  

IKAWA, Yesu alipoingia katika nyumba ya mtu mmoja, mtu mkuu katika Mafarisayo, siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.


Yesu akajibu akawaambia wana sharia na Mafarisayo, akisema, Je? ni halali kuponya siku ya sabato, ama sivyo? Wakanyamaza.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo