Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 14:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 akamtuma mtumishi wake saa ya karamu kwenda kuwaambia walioalikwa, Njoni, maana vitu vyote vimekwisha kuwa tayari.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake akawaambie walioalikwa, ‘Njoni, kila kitu ni tayari.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake akawaambie walioalikwa, ‘Njoni, kila kitu ni tayari.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Wakati wa karamu ulipofika alimtuma mtumishi wake akawaambie walioalikwa, ‘Njoni, kila kitu ni tayari.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Wakati wa karamu ulipofika, akamtuma mtumishi wake akawaambie wale walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ki tayari sasa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wakati wa karamu ulipofika, akamtuma mtumishi wake akawaambie wale walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ki tayari sasa.’

Tazama sura Nakili

Luka 14:17
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia, Mtu mmoja alifanya karamu kubwa, akaalika watu wengi,

Wakaanza kutoa udhuru, wote pia kwa nia moja. Wa kwanza akamwambia, Nimenunua shamba, sina buddi kwenda na kulitazama; nakuomba, unisamehe.

Hatta siku ya mwisho, siku ile kubwa ya siku kuu, Yesu akasimama, akapaaza sauti yake, akinena, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.

Ndugu zangu, wana wa ukoo wa Ibrahimu, nao miongoni mwenu mnaomcha Mungu, kwenu ninyi neno la wokofu huu limepelekwa.

Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, nae alitupa khuduma ya upatauisho;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo