Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 14:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 kwa sababu hawana kitu cha kukulipa; maana utalipwa katika ufufuo wa wenye haki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 nawe utakuwa umepata baraka, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa. Maana Mungu atakupa tuzo lako wakati watu wema watakapofufuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 nawe utakuwa umepata baraka, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa. Maana Mungu atakupa tuzo lako wakati watu wema watakapofufuka.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 nawe utakuwa umepata baraka, kwa kuwa hao hawana cha kukulipa. Maana Mungu atakupa tuzo lako wakati watu wema watakapofufuka.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 nawe utabarikiwa kwa sababu hawa hawana uwezo wa kukulipa. Mungu atakulipa wakati wa ufufuo wa wenye haki.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 nawe utabarikiwa kwa sababu hawa hawana uwezo wa kukulipa. Mungu atakulipa wakati wa ufufuo wa wenye haki.”

Tazama sura Nakili

Luka 14:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

sadaka yako iwe kwa siri: na Baba yako aonae kwa siri atakujazi kwa dhahiri.

Bali ufanyapo karamu, wakaribishe maskini, vilema, viwete, vipofu: nawe utakuwa kheri:

wale waliofanya mema kwa ufufuo wa uzima, na wale waliofanya manyonge kwa ufufuo wa hukumu.

Nina tumaini kwa Mungu, na hatta hao nao wanalitazamia, ya kwamba kutakuwa ufufuo wa wafu wenye haki na wasio haki pia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo