Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kwa maana killa ajikwezae atadhilika; nae ajidhiliye atakwezwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa na anayejishusha, atakwezwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa na anayejishusha, atakwezwa.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kwa maana yeyote anayejikweza atashushwa na anayejishusha, atakwezwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”

Tazama sura Nakili




Luka 14:11
24 Marejeleo ya Msalaba  

Na ye yote atakaejikuza, atadhiliwa; na ye yote atakaejidhili, atakuzwa.


Ametenda nguvu kwa mkono wake; Amewatawanya walio na kiburi katika mioyo yao.


Amewashusha wakuu katika viti, Amewakweza wanyonge.


Akamwambia na yule aliyemwalika, Ufanyapo chakula cha assubuhi au cha jioni, usiwaite rafiki zako, wala ndugu zako, wala jamaa zako, wala jirani zako walio na mali, wasije na wao wakakualika wewe, ukapata malipo.


Nawaambia ninyi, huyu alishuka nyumbani kwake amepata kibali kuliko yule: kwa maana killa ajikwezae atadhilika; nae ajidhiliye atakwezwa.


Lakini ndugu asiye na cheo afurahi kwa kuwa ametukuzwa;


Jidhilini mbele za Bwana, nae atawakuzeni.


Lakini atupa sisi neema nyingi zaidi; kwa hiyo asema, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neemi wanyenyekevu.


Vivyo hivyo ninyi vijana, watiini wazee. Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu kama mshipi, mpate kukhudumiana; kwa sababu Mungu hushindana na wenye kiburi, huwapa wanyenyekevu neema.


Bassi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari, awakweze kwa wakati wake;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo