Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 14:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 IKAWA, Yesu alipoingia katika nyumba ya mtu mmoja, mtu mkuu katika Mafarisayo, siku ya sabato, ale chakula, walikuwa wakimvizia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo, na watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo, na watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Siku moja ya Sabato, Yesu alikwenda kula chakula nyumbani kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo, na watu waliokuwapo hapo wakawa wanamchunguza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Siku moja ya Sabato, Isa alipoenda kula chakula kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo, watu walikuwa wakimchunguza kwa makini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Ikawa siku moja Isa alipokuwa amekwenda kula chakula kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo siku ya Sabato, watu walikuwa wakimchunguza kwa bidii.

Tazama sura Nakili




Luka 14:1
19 Marejeleo ya Msalaba  

Je! mtu si hora sana kuliko kondoo? Bassi ni halali kutenda mema siku ya sabato.


wakamvizia kuona kwamba atampotiya siku ya sabato: wapate kumshitaki.


Hatta alipokuwa akisema, Farisayo mmoja akamwita ale chakula cha assubuhi kwake: akaingia, akaketi.


Bassi mbele yake palikuwa mtu hawezi safura.


Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu waja lini? akawajibu, akasema, Ufalme wa Mungu hauji kwa kupelelezwa.


Wakamvizia wakatuma wapelelezi, nao wakajifanya kuwa wenye haki, illi wamnase kwa neno lake, kusudi wamtie katika enzi na mamlaka ya liwali.


Mafarisavo na waandishi wakamvizia kuona kwamba ataponya siku ya Sabato, wapate kumshitaki.


PALIKUWA na mtu mmoja wa Mafarisayo, jina lake Nikodemo, mkuu wa Wayahudi;


Lakini mtu mmoja, Farisayo, jina lake Gamaliel, mwalimu wa torati, mwenye kuheshimiwa na watu wote, akasimama katika baraza,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo