Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Akamjibu, akamwambia, Bwana, uache mwaka huu nao, hatta nikaupalilie, na kuusamadi:

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini yeye akamjibu: ‘Bwana, tuuache tena mwaka huu; nitauzungushia mtaro na kuutilia mbolea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uuache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Yule mtunza shamba akamjibu, ‘Bwana, uache tena kwa mwaka mmoja zaidi, nami nitaupalilia na kuuwekea mbolea.

Tazama sura Nakili




Luka 13:8
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda katika mtini huu, nisipate. Ukate, kwa nini uiharibu inchi pia?


nao ukizaa matunda, vyema, la! haukuzaa, ndipo utaukata.


Haiifai inchi wala jaa; watu huitupa nje. Mwenye masikio ya kusikilia, na asikie.


NDUGU, nia njema ya moyo wangu, na dua yangu niombayo Mungu kwa ajili ya Waisraeli ndio bii, waokolewe.


Huenda nikapata kuwatia wivu walio damu moja na mimi na kuwaokoa baadhi vao.


Bwana hakawii kuitimiza ahadi yake, kama wengine wahesabuvyo kukawia, bali huvumilia kwenu, hapendi mtu aliye yote apotee, bali wote wafikilie toba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo