Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 13:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Akamwambia mtunzaji wa shamba la mizabibu, Tazama, miaka mitatu hii naja nikitafuta matunda katika mtini huu, nisipate. Ukate, kwa nini uiharibu inchi pia?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Basi, akamwambia mfanyakazi wake: ‘Angalia! Kwa miaka mitatu nimekuwa nikija kuchuma matunda ya mtini huu, bila kupata chochote. Ukate! Kwa nini uitumie ardhi bure?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Basi, akamwambia mfanyakazi wake: ‘Angalia! Kwa miaka mitatu nimekuwa nikija kuchuma matunda ya mtini huu, bila kupata chochote. Ukate! Kwa nini uitumie ardhi bure?’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Basi, akamwambia mfanyakazi wake: ‘Angalia! Kwa miaka mitatu nimekuwa nikija kuchuma matunda ya mtini huu, bila kupata chochote. Ukate! Kwa nini uitumie ardhi bure?’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Hivyo akamwambia mtunza shamba: ‘Tazama, kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekuwa nikija kutafuta matunda kwenye mtini huu, nami sikupata hata moja. Ukate! Kwa nini uendelee kuharibu ardhi?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Hivyo akamwambia mtunza shamba: ‘Tazama, kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekuwa nikija kutafuta matunda kwenye mtini huu, nami sikupata hata moja. Ukate! Kwa nini uendelee kuharibu ardhi?’

Tazama sura Nakili

Luka 13:7
11 Marejeleo ya Msalaba  

Killa mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni.

Akamjibu, akamwambia, Bwana, uache mwaka huu nao, hatta nikaupalilie, na kuusamadi:

Na sasa hivi shoka limekwisha kutiwa katika shina la miti, bassi killa mti usiozaa matunda mema hukatwa ukatupwa motoni.

Kilia tawi ndani yangu lisilozaa huliondoa; na killa lizaalo hulisafisha illi lizidi kuzaa.

Mtu asipokaa ndani yangu, atupwa nje kama tawi, akauka; huyakusanya, huyatupa motoni, yakateketea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo