Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 13:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Akanena mfano huu: Mtu mmoja alikuwa na mtini, umepandwa katika shamba lake la mizabibu; akaenda akitafuta matunda juu yake wala hakupata.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Kisha, Yesu akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini shambani mwake. Mtu huyu akaenda akitaka kuchuma matunda yake, lakini akaukuta haujazaa hata tunda moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Kisha, Yesu akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini shambani mwake. Mtu huyu akaenda akitaka kuchuma matunda yake, lakini akaukuta haujazaa hata tunda moja.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Kisha, Yesu akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini shambani mwake. Mtu huyu akaenda akitaka kuchuma matunda yake, lakini akaukuta haujazaa hata tunda moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Kisha Isa akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini uliopandwa katika shamba lake la mizabibu, akaja ili kutafuta tini kwenye mti huo, lakini hakupata hata moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kisha Isa akawaambia mfano huu: “Mtu mmoja alikuwa na mtini uliopandwa katika shamba lake la mizabibu, akaja ili kutafuta tini kwenye mti huo, lakini hakupata hata moja.

Tazama sura Nakili

Luka 13:6
14 Marejeleo ya Msalaba  

Nawaanibieni, Sivyo: lakini msipotubu, nyote mtaangamia vivyo hivyo.

Na sasa hivi shoka limekwisha kutiwa katika shina la miti, bassi killa mti usiozaa matunda mema hukatwa ukatupwa motoni.

Si ninyi mlionichagua mimi, bali mimi niliyewachagua ninyi, nikawaamuru, mwende zenu mkazae, mazao yenu yakakae: illi lo lote mmwombalo Baba kwa Jina langu, awapeni.

Lakini matunda ya Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu,

Si kwamba nakitamani kile kipawa, bali nayatamani mazao yanayozidi kuwa mengi, katika hesabu yenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo