Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara katika Siloam, ukawaangamiza, mwadhani ya kuwa walikuwa wakosaji kuliko watu wote wakaao Yerusalemi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu, wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu, wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara kule Siloamu, wakafa; mnadhani wao walikuwa wakosefu kuliko wengine wote walioishi Yerusalemu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Au wale watu kumi na wanane waliokufa walipoangukiwa na mnara huko Siloamu: mnadhani wao walikuwa waovu kuliko watu wote walioishi Yerusalemu?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Au wale watu kumi na wanane waliokufa walipoangukiwa na mnara huko Siloamu: mnadhani wao walikuwa waovu kuliko watu wote waliokuwa wanaishi Yerusalemu?

Tazama sura Nakili




Luka 13:4
13 Marejeleo ya Msalaba  

Alipoanza kuifanya, akaletewa mtu mmoja awiwae nae talanta elfu kumi.


Utusamehe deni zetu, kama sisi tunavyowasamehe wadeni wetu.


Utupe leo riziki zetu. Utusamehe dhambi zetu, kwa maana sisi nasi tunamsamehe killa mtu anaewiwa nasi. Usituingize majaribuni, hali utuokoe na yule mwovu.


Nawaambieni sivyo: lakini msipotuhu nyote mtaangamia vivyo hivyo.


Nawaanibieni, Sivyo: lakini msipotubu, nyote mtaangamia vivyo hivyo.


Yeye akajibu, akanena, Mtu aitwae Yesu alifanya tope, akanipaka macho yangu, akaniambia, Enenda hatta birika ya Siloam, ukanawe; bassi nikaenda nikanawa, nikapata kuona.


akampaka kipofu macho kwa lile tope, akamwambia, Enenda, kanawe katika birika ya Siloam (tafsiri yake, Aliyetumwa). Bassi akaenda, akanawa, akarudi, anaona.


Washenzi walipomwona yule nyoka akimwangikia mkono, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni muuaji; na ijapokuwa ameokoka katika bahari, haki haimwachi kuishi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo