Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 13:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Siku ile ile baadhi ya Mafarisayo wakamwendea, wakamwambia, Ondoka hapa, ukaende zako: kwa maana Herode anataka kukuua.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Wakati huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Wakati huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Wakati huohuo, Mafarisayo na watu wengine walimwendea Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine, kwa maana Herode anataka kukuua.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Isa na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Isa na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.”

Tazama sura Nakili

Luka 13:31
9 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI ule Herode tetrarka alisikia khabari za Yesu,

Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodias, mke wa Filipo ndugu yake.

Hatta panapo siku kuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti Herodias alicheza kati ya watu, akampendeza Herode.

Alipojua ni chini ya mamlaka ya Herode, akampeleka kwa Herode; nae alikuwa katika Yerusalemi siku zile.

HATTA katika mwaka wa kumi na tano wa kutawala kwake Tiberio Kaisari, Pontio Pilato alipokuwa liwali wa Yahudi, na Herode tetrarka wa Galilaya, na Filipo ndugu yake tetrarka wa Iturea, na wa inchi ya Trakoniti, na Lusania tetrarka wa Abilene,

Hatta Herode tetrarka akasikia yote yaliyotendwa nae, akaona mashaka, kwa kuwa wengine walisema kwamba Yohana amefufuka katika wafu:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo