Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 13:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 nae atasema, Nawaambieni, Siwajui mtokako: ondokeni mbali nami, ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Lakini yeye atasema: ‘Sijui nyinyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Lakini yeye atasema: ‘Sijui nyinyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Lakini yeye atasema: ‘Sijui nyinyi mmetoka wapi; ondokeni mbele yangu, enyi nyote watenda maovu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako. Ondokeni kwangu, ninyi watenda maovu!’

Tazama sura Nakili

Luka 13:27
15 Marejeleo ya Msalaba  

Akajibu, akasema, Amin, nawaambieni, siwajui ninyi.

Kisha atawaambia na wale walio mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, mliolaaniwa, kwenda katika moto wa milele, aliowekewa tayari Shetani na malaika zake:

Tokea wakati ule atakapoondoka mwenye nyumba na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkinena, Bwana, Bwana! utufungulie; nae akajibu, akawaambieni, Siwajui mtokako;

Lakini mtu akimpenda Mungu, huyo amejuliwa nae.

Bali sasa, mkiisha kumjua Mungu, ya nini kurejea tena kwa mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge na yenye upungufu ambayo mnataka kuyatumikia tena.

Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake; tena, killa alilajae jina la Bwana na aache uovu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo