Luka 13:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula, na kunywa mbele yako; nawe ulifundisha kalika njia zetu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Nanyi mtaanza kumwambia: ‘Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Nanyi mtaanza kumwambia: ‘Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Nanyi mtaanza kumwambia: ‘Sisi ndio wale tuliokula na kunywa pamoja nawe; na wewe ulifundisha katika vijiji vyetu.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 “Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 “Ndipo mtamjibu, ‘Tulikula na kunywa pamoja nawe, tena ulifundisha katika mitaa yetu.’ Tazama sura |