Luka 13:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192123 Mtu mmoja akamwambia, Bwana, wao wanaookolewa ni wachaehe? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Mtu mmoja akamwuliza, “Je, Mwalimu, watu watakaookoka ni wachache?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana Isa, ni watu wachache tu watakaookolewa?” Isa akawaambia, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana Isa, ni watu wachache tu watakaookolewa?” Tazama sura |