Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 13:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Akawa akizungukazunguka katika miji ni vijiji, akifundisha, na kufanya safari kwenda Yerusalemi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Yesu aliendelea na safari yake kwenda Yerusalemu huku akipitia mijini na vijijini, akihubiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Yesu aliendelea na safari yake kwenda Yerusalemu huku akipitia mijini na vijijini, akihubiri.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Yesu aliendelea na safari yake kwenda Yerusalemu huku akipitia mijini na vijijini, akihubiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Isa akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Isa akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu.

Tazama sura Nakili

Luka 13:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na Yesu alikuwa akizunguka katika miji yote na vijiji, akifundisha katika masunagogi yao, akikhubiri injili ya ufalme, akiponya magonjwa yote na dhaifu zote katika watu.

Akastaajahu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.

Mtu mmoja akamwambia, Bwana, wao wanaookolewa ni wachaehe?

Ikawa siku za kupandishwa kwake juu zilipokuwa karibu kutimia, yeye mwenyewe akauelekeza nso wake kwenda Yerusalemi.

khabari za Yesu wa Nazareti, jinsi Mungu alivyomtia mafuta kwa Roho Mtakatifu na uguvu: nae akatembea huko na huko, akitenda kazi njema na kuponya wote walioonewa na Shetani; kwa maana Mungu alikuwa pamoja nae.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo