Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Akasema marra ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Tena akauliza: “Nitaulinganisha ufalme wa Mungu na nini?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Isa akauliza tena, “Nitaufananisha ufalme wa Mungu na nini?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Isa akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mwenyezi Mungu na nini?

Tazama sura Nakili




Luka 13:20
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nitafananisha na nini kizazi hiki? Kimefanana na watoto wakikaa sokoni, wanaowaita wenzao,


Akawatolea mfano mwingine, akinena, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake:


Bassi, akasema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Na niufananishe na nini?


Umefanana na chachu aliyotwaa mwanamke akaisetiri katika pishi tatu za unga, hatta ukachacha wote pia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo