Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Akajibu, akawaambia, Je! Mwadhani ya kuwa Wagalilaya hawo walikuwa wenye dhambi kuliko Wagalilaya wote hatta wakapata mateso kama hayo?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Naye Yesu akawaambia, “Mnadhani Wagalilaya hao walikuwa wahalifu kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Naye Yesu akawaambia, “Mnadhani Wagalilaya hao walikuwa wahalifu kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Naye Yesu akawaambia, “Mnadhani Wagalilaya hao walikuwa wahalifu kuliko Wagalilaya wengine, ati kwa sababu wameteseka hivyo?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Isa akawauliza, “Mnadhani kwamba hawa Wagalilaya ambao walikufa kifo kama hicho walikuwa na dhambi kuwazidi Wagalilaya wengine wote?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Isa akawauliza, “Mnadhani kwamba hawa Wagalilaya ambao walikufa kifo cha namna hiyo walikuwa na dhambi kuwazidi Wagalilaya wengine wote?

Tazama sura Nakili




Luka 13:2
6 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI huohuo walikuwapo watu wakimwarifu khabari za Wagalilaya wale ambao Pilato alichanganya damu yao na dhabihu zao.


Nawaambieni sivyo: lakini msipotuhu nyote mtaangamia vivyo hivyo.


Au wale kumi na wanane walioangukiwa na mnara katika Siloam, ukawaangamiza, mwadhani ya kuwa walikuwa wakosaji kuliko watu wote wakaao Yerusalemi?


Wanafunzi wake wakamwuliza, wakinena, Rabbi, ni nani aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hatta akazaliwa kipofu?


Washenzi walipomwona yule nyoka akimwangikia mkono, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni muuaji; na ijapokuwa ameokoka katika bahari, haki haimwachi kuishi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo