Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Bassi, akasema, Ufalme wa Mungu umefanana na nini? Na niufananishe na nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Yesu akauliza: “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaulinganisha na nini?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Kisha Isa akauliza, “Ufalme wa Mwenyezi Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?

Tazama sura Nakili




Luka 13:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akawatolea mfano mwingine, akinena, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake:


Akanena, Ufalme wa Mungu, mithili yake ni mtu aliyemwaga mbegu juu ya inchi:


Akasema marra ya pili, Niufananishe na nini ufalme wa Mungu?


Wala hawatasema, Tazama, huko au huko! maana fahamuni! ufalme wa Mungu umo ndani yenu.


Bwana akasema, Nitawafananisha na nini watu wa kizazi hiki? Nao wamefanana na nini?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo