Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Akaweka mikono yake juu yake, akanyoka marra hiyo, akaanza kumtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Akamwekea mikono, na mara mwili wake ukawa wima tena, akawa anamtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Isa alipomwekea mikono yake, akasimama wima mara moja, akaanza kumtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Isa alipomwekea mikono yake, mara akasimama wima akaanza kumtukuza Mungu.

Tazama sura Nakili




Luka 13:13
13 Marejeleo ya Msalaba  

Makutano wakimwona, wakastaajabu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu mamlaka ya jinsi hii.


watashika nyoka; hatta wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.


akimsihi sana, akinena. Binti yangu mdogo yu katika kufa: nakuomba nje, nweke mkono wako juu yake, apate kupona, nae ataishi.


Wala hakuweza kufanya mwujiza wo wote huko, isipokuwa aliweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache, akawaponya.


Ndipo akaweka mkono wake juu yake marra ya pili machoni mwake, akamwagiza atazame juu; akapata kuwa mzima, akaona wote waziwazi, wajapokuwa mbali.


Bassi Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, Ee mwanamke, umefunguliwa udhaifu wako.


Marra akapata kuona, akamfuata, akimtukuza Mungu; na watu wote walipoona wakampa Mungu sifa.


Hatta jua lilipokuwa likichwa watu wote waliokuwa na wagonjwa wenye maradhi mbali mbali wakawaleta kwake: nae akaweka mikono yake juu ya killa mmoja, akawaponya.


Anania akaenda zake, akaingia mle nyumbani; akamwekea mikono akisema, Ndugu Saul, Bwana amenipeleka, Yesu, yeye aliyekutokea katika njia uliyoijia, upate kuona tena, ukajazwe Roho Mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo