Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 13:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Bassi Yesu alipomwona, akamwita, akamwambia, Ee mwanamke, umefunguliwa udhaifu wako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yesu alipomwona, alimwita, akamwambia, “Mama, umeponywa ugonjwa wako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yesu alipomwona, alimwita, akamwambia, “Mama, umeponywa ugonjwa wako.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yesu alipomwona, alimwita, akamwambia, “Mama, umeponywa ugonjwa wako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Isa alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Isa alipomwona, akamwita, akamwambia, “Mwanamke, uwe huru, umepona ugonjwa wako.”

Tazama sura Nakili




Luka 13:12
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akazunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika sunagogi zao, na kuikhubiri injili ya ufalme, na kuponya ugonjwa na udhaifu wa killi namna katika watu.


Ilipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo: akawafukuza pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa hawawezi,


Na tazama, palikuwa na mwanamke aliyekuwa na pepo wa udhaifu miaka kumi na minane: nae amepindana, asiweze kujiinua kabisa.


Akaweka mikono yake juu yake, akanyoka marra hiyo, akaanza kumtukuza Mungu.


Na huyu, aliye binti Ibrahimu, amhae Shetani amemfunga miaka kumi na minane hii, haikupasa afunguliwe kifungo hiki siku ya sabato?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo