Luka 13:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Akawa akifundisha katika sunagogi mojawapo siku ya sabato. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Yesu alikuwa akifundisha katika sunagogi moja siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Basi Isa alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Basi Isa alikuwa akifundisha katika sinagogi mojawapo siku ya Sabato. Tazama sura |