Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 12:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 walakini hatta nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope bassi: ninyi bora kuliko videge vingi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Lakini hata nywele za vichwa vyenu zimehesabiwa zote. Msiogope, basi; nyinyi mna thamani kuliko shomoro wengi!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Naam, hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Hivyo msiogope, kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Naam, hata nywele za vichwa vyenu zote zimehesabiwa. Hivyo msiogope, kwa maana ninyi ni wa thamani kubwa kuliko shomoro wengi.

Tazama sura Nakili

Luka 12:7
10 Marejeleo ya Msalaba  

Je! mtu si hora sana kuliko kondoo? Bassi ni halali kutenda mema siku ya sabato.

Waangalieni ndege wa anga, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni awalisha hawo. Ninyi je! si bora kupita hawo?

Na unywele wa vichwa vyenu hautapotea kamwe.

Bassi nawasihi mle chakula, maana itakuwa kwa wokofu wenu; kwa maana hapana unywele wa vichwa vyenu utakaopotea.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo