Luka 12:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Haviuzwi videge vitano kwa pesa mbili? na hatta kimojawapo hakisahauliwi mbele ya Mungu: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa sarafu ndogo kumi, au sivyo? Lakini mbele ya Mungu hasahauliki hata mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa sarafu ndogo kumi, au sivyo? Lakini mbele ya Mungu hasahauliki hata mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Inajulikana kwamba shomoro watano huuzwa kwa sarafu ndogo kumi, au sivyo? Lakini mbele ya Mungu hasahauliki hata mmoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mnajua kwamba shomoro watano huuzwa kwa senti mbili? Lakini Mungu hamsahau hata mmoja wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mnajua kwamba shomoro watano huuzwa kwa senti mbili? Lakini Mungu hamsahau hata mmoja wao. Tazama sura |