Luka 12:59 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192159 Nakuambia, Hutoki humo kabisa hatta uishe kulipa roho pesa ya mwisho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema59 Hakika hutatoka huko, nakuambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND59 Hakika hutatoka huko, nakuambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza59 Hakika hutatoka huko, nakuambia, mpaka utakapomaliza kulipa senti ya mwisho.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu59 Nakuambia, hutatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu59 Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.” Tazama sura |