Luka 12:55 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192155 Na killa ivumapo kaskazi mwasema, Itakuwa joto; ikawa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema55 Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND55 Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza55 Mnapoona upepo wa kusi unavuma, mwasema ‘Kutakuwa na joto,’ na ndivyo inavyokuwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu55 Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu55 Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. Tazama sura |