Luka 12:54 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192154 Akawaambia na makutano pia, Killa muonapo wingu likizuka magharibi, mwasema marra, Mvua inakuja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema54 Yesu akayaambia tena makundi ya watu, “Mnapoona mawingu yakitokea upande wa magharibi, mara mwasema: ‘Mvua itanyesha,’ na kweli hunyesha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND54 Yesu akayaambia tena makundi ya watu, “Mnapoona mawingu yakitokea upande wa magharibi, mara mwasema: ‘Mvua itanyesha,’ na kweli hunyesha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza54 Yesu akayaambia tena makundi ya watu, “Mnapoona mawingu yakitokea upande wa magharibi, mara mwasema: ‘Mvua itanyesha,’ na kweli hunyesha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu54 Pia Isa akaambia umati ule wa watu, “Mwonapo wingu likitokea magharibi, mara mwasema, ‘Mvua itanyesha,’ nayo hunyesha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu54 Pia Isa akauambia ule umati wa watu, “Mwonapo wingu likitokea magharibi, mara mwasema, ‘Mvua itanyesha,’ nayo hunyesha. Tazama sura |