Luka 12:51 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192151 Je! wadhani kwamba nimekuja niipe dunia amani? Nawaambieni, Sivyo, bali mafarakano. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? Hata kidogo; si amani bali utengano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? La, nawaambia sivyo, nimekuja kuleta mafarakano. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu51 Mnadhani nimekuja kuleta amani duniani? La, nawaambia sivyo, nimekuja kuleta mafarakano. Tazama sura |