Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:50 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

50 Nina ubatizo wa kubatizwa nao, na nina dhiiki namna gani hatta utakapotimizwa!

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

50 Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

50 Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

50 Ninao ubatizo ambao inanipasa niupokee; jinsi gani ninavyohangaika mpaka ukamilike!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

50 Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu hadi ubatizo huo ukamilike!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

50 Lakini ninao ubatizo ambao lazima nibatizwe, nayo dhiki yangu ni kuu mpaka ubatizo huo ukamilike!

Tazama sura Nakili




Luka 12:50
13 Marejeleo ya Msalaba  

wakabatizwa nae mtoni Yordani, wakiziungama dhambi zao.


Nimekuja kutupa moto duniani, na ukiwa umekwisha kuwashwa nataka nini zaidi?


Bassi Yesu akamwambia Petro, Rudisha upanga wako alani mwake. Kikombe alichonipa Baba, nisikinywee?


Bassi Yesu alipoipokea siki, akasema, Imekwisha: akainama kichwa, akatoa roho.


Yesu akawaambia, Chakula changu ndicho hiki, niyatende mapenzi yake aliyenipeleka nikaimalize kazi yake.


Hatta ndugu zake walipokwisha kupanda, ndipo yeye nae akapanda kwenda kuishika siku kuu, si kwa wazi bali kana kwamba kwa siri.


Bassi, sasa angalieni, nashika njia kwenda Yerusalemi nimefungwa rohoni, nisijue mambo yatakayonikuta huko;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo