Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 12:41 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

41 Petro akasema, Bwana, unatuambia sisi mfano huu au watu wote pia?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

41 Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

41 Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

41 Petro akamwambia, “Bwana, mfano huo ni kwa ajili yetu tu, au ni kwa ajili ya watu wote?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

41 Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana Isa, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

41 Ndipo Petro akamuuliza, “Bwana Isa, mfano huu unatuambia sisi peke yetu au watu wote?”

Tazama sura Nakili

Luka 12:41
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na hilo niwaambialo ninyi, nawaambia Wote, Kesheni.

Akaenda akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Simon, umelala? Hukuweza kukesha saa moja?

Na mtumwa yule aliyejua mapenzi ya Bwana wake, asijiweke tayari, wala kutenda mapenzi yake, atapigwa mapigo mengi;

na yule asiyejua, nae amefanya yastahiliyo mapigo, atapigwa mapigo machache. Killa aliyepewa vingi kwake huyu vitatakwa vingi: nae waliyemkabidhi vingi, kwake yeye watataka vingi zaidi.

Mwisho wa mamho yote umekaribia; bassi, mwe na akili, mkakeshe katika sala:

Erevukeni, kesheni; kwa kuwa mshitaki wenu Shetani, kama simba angurumae, huzungukazunguka, akitafuta mtu amle;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo