Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Lakini jueni haya ya kuwa mwenye nyumba angaliijua saa atakayokuja mwizi, angalikesha asiache nyumba yake kuvunjwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Jueni kwamba, kama mwenye nyumba angejua saa ambayo mwizi atakuja, angekesha, wala hangeiacha nyumba yake ivunjwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angejua saa mwizi atakuja, hangeiacha nyumba yake kuvunjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Lakini fahamuni jambo hili: Kama mwenye nyumba angalijua saa mwizi atakuja, asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.

Tazama sura Nakili




Luka 12:39
7 Marejeleo ya Msalaba  

Kesheni bassi: kwa maana hamwijui saa atakayokuja Bwana wenu.


Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu ziharibupo, na wevi huvunja na kuiba:


Maana siku ya Bwana itakuja kama mwizi usiku; katika siku biyo mbingu zitatoweka kwa mshindo mkuu, na viumbe vya asili vitaunguzwa, na kufumuliwa, na inchi na kazi zilizomo ndani yake zitateketea.


Tazama, naja kama mwizi. Yu kheri akeshae, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi wakaone aibu yake.


Bassi kumbuka jinsi ulivyopokea, na jinsi ulivyosikia; yashike hayo na kutubu. Illakini usipokesha nitakuja kwako kama mwizi, nawe hutaijua saa nitakayokuja kwako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo