Luka 12:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192138 Na akija kesha la pili au akija kesha la tatu, na kuwakuta hivi, wa kheri watumishi wale. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Hata kama atarudi usiku wa manane au alfajiri na kuwakuta wanakesha, heri yao watumishi hao! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Itakuwa heri kwa watumwa hao ikiwa bwana wao atakapokuja atawakuta wamekesha hata kama atakuja usiku wa manane, au karibu na mapambazuko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Itakuwa heri kwa watumwa hao ikiwa bwana wao atakapokuja atawakuta wamekesha hata kama atakuja mnamo usiku wa manane, au karibu na mapambazuko. Tazama sura |