Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 na ninyi kama watu wanaomngojea bwana wao, atakapoondoka arusini, illi akija na kubisha, wamfungulie marra moja.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka harusini, ili wamfungulie mara atakapobisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka harusini, ili wamfungulie mara atakapobisha.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka harusini, ili wamfungulie mara atakapobisha.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka karamu ya arusi, ili ajapo na kubisha mlango waweze kumfungulia mara moja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka kwenye karamu ya arusi, ili ajapo na kubisha mlango waweze kumfungulia mara.

Tazama sura Nakili




Luka 12:36
16 Marejeleo ya Msalaba  

Mwe, bassi, mmefungwa viuno, na taa zikiwaka;


Wa kheri watumishi wale ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesba. Amin, nawaambieni, atajifunga, atawaketisha, atakuja kuwakhudumia.


Na tufurahi tukashangilie tukampe ulukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.


Tazama, nasimama mlangoni, nabisha: mtu akiisikia sauti yangu na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nitakula pamoja nae, na yeye pamoja nami.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo