Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:31 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote mtazidishiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Shughulikeni kwanza juu ya ufalme wa Mungu, na hayo mtapewa kwa ziada.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Bali utafuteni ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Bali utafuteni Ufalme wa Mwenyezi Mungu, na haya yote atawapa pia.

Tazama sura Nakili




Luka 12:31
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bali utafuteni kwanza ufalme wa Mungu, na haki yake; na haya yote mtazidishiwa.


lakini kuna haja ya kitu kimoja tu, na Mariamu ameichagua sehemu iliyo njema, ambayo hataondolewa.


Maana mataifa wa dunia huyatafuta hayo yote, lakini Baba yenu anajua ya kuwa mnahitaji hayo.


Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hatta uzima wa milele, Mwana wa Adamu atakachowapeni: maana huyu ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.


Bassi, na tuseme nini baada ya hayo? Mungu akiwa upande wetu, nani aliye juu yetu?


Jitahidi kupata utawa. Maana, kujitahidi kupata nguvu za mwili kwafaa kidogo, hali utawa hufaa kwa mambo yote; maana nna ahadi ya uzima wa sasa na wa ule utakaokuwa.


Msiwe na tabia ya kupenda fedha: mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo