Luka 12:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Bassi ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa, wala msiwe na roho yenye tashwishi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 “Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 “Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 “Basi, msivurugike akili, mkihangaika juu ya mtakachokula au mtakachokunywa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Wala msisumbuke mioyoni mwenu mtakula nini au mtakunywa nini. Msiwe na wasiwasi juu ya haya. Tazama sura |