Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 12:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Yatafakarini maua jinsi yameavyo: hayatendi kazi wala hayasokoti, nami nawaambieni ya kwamba hatta Sulemani, katika fakhari yake yote hakuvikwa kama mojawapo la hayo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Angalieni maua jinsi yanavyomea. Hayafanyi kazi wala hayafumi. Lakini nawaambieni, hata Solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Angalieni maua jinsi yanavyomea. Hayafanyi kazi wala hayafumi. Lakini nawaambieni, hata Solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Angalieni maua jinsi yanavyomea. Hayafanyi kazi wala hayafumi. Lakini nawaambieni, hata Solomoni mwenyewe na fahari zake zote hakupata kuvikwa vizuri kama ua mojawapo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 “Angalieni maua jinsi yameavyo: Hayafanyi kazi wala hayafumi. Lakini nawaambia, hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo ya hayo maua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 “Angalieni maua jinsi yameavyo: Hayafanyi kazi wala hayafumi. Lakini nawaambia, hata Sulemani katika fahari yake yote hakuvikwa vizuri kama mojawapo ya hayo maua.

Tazama sura Nakili

Luka 12:27
6 Marejeleo ya Msalaba  

Watafakarini kunguru, hawapandi wala hawavuni: hawana pa kuweka akiba wala ghala, na Mungu huwalisha. Ninyi si hora sana kuliko ndege?

Bassi ikiwa hamwezi hatta neno lililo dogo, ya nini kujisumbulia mambo mengine?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo