Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 12:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Yupi wenu awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Ni nani kati yenu kwa kuwa na wasiwasi sana anaweza kuongeza kidogo urefu wa maisha yake?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Ni nani miongoni mwenu ambaye kwa kujitaabisha kwake anaweza kujiongezea hata saa moja zaidi katika maisha yake?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Ni nani miongoni mwenu ambaye kwa kujitaabisha kwake anaweza kujiongezea hata saa moja zaidi katika maisha yake?

Tazama sura Nakili

Luka 12:25
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unyele mmoja kuwa mwenpe au mwensi.

Yupi katika ninyi awezae kwa kusumbuka kujiongeza kimo chake mkono mmoja?

Bassi ikiwa hamwezi hatta neno lililo dogo, ya nini kujisumbulia mambo mengine?

akatafuta kumwona Yesu, ni mtu gani, asiweze lakini kwa sababu ya makutano, maana kimo chake alikuwa mfupi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo