Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 12:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Akawaambia wanafunzi wake, Kwa sababu hii nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mleni: wala miili yenu mvaeni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Kisha Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Kwa sababu hiyo nawaambieni, msiwe na wasiwasi juu ya chakula mnachohitaji ili kuishi, wala juu ya mavazi mnayohitaji kwa ajili ya miili yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kisha Isa akawaambia wanafunzi wake: “Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kisha Isa akawaambia wanafunzi wake: “Kwa hiyo nawaambia, msisumbukie maisha yenu kwamba mtakula nini; au msumbukie miili yenu kwamba mtavaa nini.

Tazama sura Nakili

Luka 12:22
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na watakapowapeleka mbele za sunagogi na maliwali na wenye mamlaka, msifadhaike kwa kuwaza jinsi mtakavyojibu au mtakavyosema:

Kwa maana maisha ni zaidi ya chakula na mwili zaidi ya mavazi.

Bassi ninyi msitafute mtakavyokula wala mtakavyokunywa, wala msiwe na roho yenye tashwishi.

Lakini nataka inwe hamna masumbufu. Yeye asiyeoa hujishughulisha na mambo ya Bwana, ampendezeje Bwana;

Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika killa neno kwa kusali na kuomba pamoja na kushukuru haja zenu zijulike kwa Mungu.

Msiwe na tabia ya kupenda fedha: mwe radhi na vitu mlivyo navyo; kwa kuwa yeye mwenyewe amesema, Sitakupungukia kabisa, wala sitakuacha kabisa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo