Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 12:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

20 Mungu akamwambia, Mpumbavu wewe, usiku huu wa leo, wanakutaka roho yako. Nayo uliyojiwekea tayari yatakuwa ya nani?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Lakini Mungu akamwambia: ‘Mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. Na vitu vile vyote ulivyojirundikia vitakuwa vya nani?’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Lakini Mungu akamwambia: ‘Mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. Na vitu vile vyote ulivyojirundikia vitakuwa vya nani?’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Lakini Mungu akamwambia: ‘Mpumbavu wewe; leo usiku roho yako itachukuliwa. Na vitu vile vyote ulivyojirundikia vitakuwa vya nani?’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 “Lakini Mungu akamwambia, ‘Mpumbavu wewe! Usiku huu uhai wako unatakiwa. Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea akiba vitakuwa vya nani?’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 “Lakini Mungu akamwambia, ‘Mpumbavu wewe! Usiku huu uhai wako unatakiwa. Sasa hivyo vitu ulivyojiwekea akiba vitakuwa vya nani?’

Tazama sura Nakili

Luka 12:20
35 Marejeleo ya Msalaba  

Enyi wapumbavu, yeye aliyekifauya cha nje, siye aliyekifanya cha ndani naebo?

Maana wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafula, kama vile utungu umjiavyo niwenye mimba; nao hawataokolewa.

Uwaagize walio matajiri katika ulimwengu huu wasijivune, wala wasitumainie utajiri usio yakini, bali Mungu aliye hayi atupae vitu vyote kwa wingi, tuvitumie kwa furaha;

Kwa maana hatukuja na kitu duniani, tena ni dhahiri va kuwa hatuwezi kutoka na kitu

Uzima wenu ni nini? Maana ninyi moshi uonekanao kwa kitambo, kiisha hutoweka.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo