Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Akasema, Nitafanya hivi: nitavunja ghala zangu, nitajenga kubwa zaidi: na humo nitaweka akiba nafaka zangu zote, na mali zangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Nitafanya hivi: Nitabomoa ghala zangu na kujenga kubwa zaidi, nami nitahifadhi humo mavuno yangu yote na mali yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Nitafanya hivi: Nitabomoa ghala zangu na kujenga kubwa zaidi, nami nitahifadhi humo mavuno yangu yote na mali yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Nitafanya hivi: nitabomoa ghala zangu na kujenga kubwa zaidi, nami nitahifadhi humo mavuno yangu yote na mali yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 “Ndipo huyo tajiri akasema, ‘Nitafanya hivi: Nitabomoa maghala yangu ya nafaka na kujenga mengine makubwa zaidi na nihifadhi mavuno yangu yote na vitu vyangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 “Ndipo huyo tajiri akasema, ‘Nitafanya hivi: Nitabomoa ghala zangu za nafaka na kujenga nyingine kubwa zaidi na huko nitayahifadhi mavuno yangu yote na vitu vyangu.

Tazama sura Nakili




Luka 12:18
11 Marejeleo ya Msalaba  

Waangalieni ndege wa anga, ya kwamba hawapandi, wala hawavuni, wala hawakusanyi ghalani; na Baba yenu wa mbinguni awalisha hawo. Ninyi je! si bora kupita hawo?


Akaanza kuwaza moyoni, akisema, Nifanyeje, maana sina pa kuweka akiba mavuno yangu?


Kiisha nitaiambia roho yangu, Ee roho yangu, nna mali nyingi ulizojiwekea akiba kwa miaka mingi: pumzika, hassi, ule, unywe, ufurahi.


Ndivyo alivyo yeye ajiwekeae nafsi yake akiba wala hawi tajiri machoni pa Mungu.


Watafakarini kunguru, hawapandi wala hawavuni: hawana pa kuweka akiba wala ghala, na Mungu huwalisha. Ninyi si hora sana kuliko ndege?


Nae hakukubali muda wa siku kadha wa kadha; khalafu akasema moyoni mwake, Ijapokuwa mimi simchi Mungu wala sijali mtu;


Bwana akasema, Sikieni asemavyo yule kadhi asiye haki.


Hekima hii siyo ile ishukayo kutoka juu, bali ni ya dunia, na ya tabia ya kibinadamu, na ya Shetani,


Haya bassi, ninyi msemao, Leo au kesho tutaingia mji fullani na kukaa humo mwaka mzima, na kufanya biashara na kupata faida; nanyi hamjui yatakayokuwa kesho.


Badala ya kusema, Bwana akipenda, tutakuwa hayi na kufanya hivi au hivi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo