Luka 12:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192116 Akawaambia mfano, akisema, Palikuwa na mtu tajiri, shamba lake likastawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Kisha akawaambia mfano: “Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno mengi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Kisha akawaambia mfano: “Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno mengi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Kisha akawaambia mfano: “Kulikuwa na tajiri mmoja ambaye shamba lake lilizaa mavuno mengi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kisha akawaambia mfano huu: “Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kisha akawaambia mfano huu: “Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana. Tazama sura |