Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Akamwambia, Ee mwana Adamu, nani aliyemweka kuwa kadhi au mgawanyi juu yenu?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yesu akamjibu, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa mwamuzi au msuluhishi kati yenu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yesu akamjibu, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa mwamuzi au msuluhishi kati yenu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yesu akamjibu, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa mwamuzi au msuluhishi kati yenu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Lakini Isa akamwambia, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa hakimu wenu au msuluhishi juu yenu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Lakini Isa akamwambia, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa hakimu wenu au msuluhishi juu yenu?”

Tazama sura Nakili




Luka 12:14
11 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mmoja katika makutano akamwambia, Mwalimu, mwambie ndugu yangu anigawie urithi wetu.


Na punde baadae mwingine akamwona, akasema, Na wewe u mmoja wao. Petro akasema, Ewe mtu, sio mimi.


Alipoona imani yao, akamwambia, Ee mtu, dhambi zako zimeondolewa.


Bassi Yesu, akitambua ya kuwa walitaka kuja kumchukua illi wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani, yeye peke yake.


Akamwambia, Hapana Bwana. Yesu akamwambia, Nami sikuhukumu. Enenda, wala usitende dhambi tena.


KWA hiyo, ee mtu uhukumuye uwae yote, huna udhuru; kwa maana katika hayo uhukumuyo mwingine wajihukumu nafsi yako; kwa maana wewe uhukumuye unafanya yale yale.


Ee bin-Adamu, uwahukumuye wale wafanyao hayo na kutenda yayo hayo mwenyewe, je! wadhani ya kwamba utajiepusha na hukumu ya Mungu?


La! si hivyo, ee bin-Adamu; wewe u nani umjibuye Mungu? Je! kitu kilichoumbwa kimwambie yeye aliyekiumba, Ya nini nkanifanza hivi?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo