Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Luka 12:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Na killa mmoja atakaesema neno juu ya Mwana wa Adamu, atasamehewa, bali yeye aliyemtukana Roho Mtakatifu hatasamehewa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 “Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 “Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 “Yeyote anayesema neno la kumpinga Mwana wa Mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru Roho Mtakatifu hatasamehewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Naye kila atakayenena neno baya dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote atakayemkufuru Roho Mtakatifu wa Mungu hatasamehewa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Naye kila atakayenena neno baya dhidi ya Mwana wa Adamu atasamehewa, lakini yeyote atakayemkufuru Roho wa Mwenyezi Mungu hatasamehewa.

Tazama sura Nakili




Luka 12:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akasema, Baba, uwasamehe, kwa maana hawajui watendalo. Wakagawanya nguo zake, wakipiga kura.


mimi niliyekuwa kwanza mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye jeuri: lakini nalirehemiwa kwa kuwa nalitenda hivyo kwa njinga, na kwa kutokuwa na imani;


Mtu akimwona ndugu yake anakosa kosa lisilo la mauti, ataomba, nae atampa uzima kwa ajili ya hawo wakosao kosa lisilo la mauti. Liko kosa lililo la mauti. Sisemi ya kwamba ataomba kwa ajili ya hilo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo