Luka 11:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19217 Na yule mle ndani akamjibu, akimwambia, Usiniudhi: mlango umekwisha kufungwa, na watoto wangu wamelala pamoja nami kitandani; siwezi kuondoka nikupe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Naye, akiwa ndani angemjibu: ‘Usinisumbue! Nimekwisha funga mlango. Mimi na watoto wangu tumelala; siwezi kuamka nikupe!’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Naye, akiwa ndani angemjibu: ‘Usinisumbue! Nimekwisha funga mlango. Mimi na watoto wangu tumelala; siwezi kuamka nikupe!’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Naye, akiwa ndani angemjibu: ‘Usinisumbue! Nimekwisha funga mlango. Mimi na watoto wangu tumelala; siwezi kuamka nikupe!’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 “Kisha yule aliye ndani amjibu, ‘Usinisumbue. Mlango umefungwa, nami na watoto wangu tumelala. Siwezi kuamka nikupe chochote.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 “Kisha yule aliyeko ndani amjibu, ‘Usinisumbue. Mlango umefungwa, nami na watoto wangu tumelala. Siwezi kuamka nikupe chochote.’ Tazama sura |