Luka 11:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19216 Ee rafiki, uniazime mikate mitatu: maana rafiki yangu amekuja kwangu, atoka safarini, nami sina kitu cha kumwandikia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 kwa kuwa rafiki yangu amepitia kwangu akiwa safarini nami sina cha kumpa.’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa ale.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa sababu rafiki yangu amekuja kutoka safarini, nami sina kitu cha kumpa.’ Tazama sura |