Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Luka 11:53 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

53 Alipokuwa akiwaambia haya, waandishi na Mafarisayo wakaanza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa masiala mengi, wakimwotea,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

53 Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

53 Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

53 Alipokuwa akitoka pale, wale Mafarisayo na waalimu wa sheria walianza kumshambulia vikali na kumsonga kwa maswali mengi

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

53 Isa alipoondoka huko, walimu wa Torati na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

53 Isa alipoondoka huko, walimu wa Torati na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,

Tazama sura Nakili

Luka 11:53
11 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wenu, enyi wana sharia, kwa sababu mliuchukua ufunguo wa maarifa; ninyi wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wakiingia mliwazuia.

wakitaka kudaka neno kinywani mwake wapate kumshitaki.

Wakamvizia wakatuma wapelelezi, nao wakajifanya kuwa wenye haki, illi wamnase kwa neno lake, kusudi wamtie katika enzi na mamlaka ya liwali.

Kiisha baadhi ya Masadukayo wakamwendea, watu wanenao ya kwamba hakuna kiyama: wakamwuliza, wakinena,

Kweli, mimi mwenyewe naliona ndani ya nafsi yangu kwamba yanipasa kutenda mambo mengi yaliyopingamana na jina lake Yesu Mnazareti;

haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hauhesabu mabaya;

hatta tukamwonya Tito kuwatimilizieni neema hii kama vile alivyoianza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo